Kurasa

Jumamosi, 10 Septemba 2016

Waislamu waanza Hija Saudi Arabia



Usalama mkali umedumishwa nchini Saudi Arabia
Usalama mkali umedumishwa nchini Saudi Arabia 

Takriban Mahujaji wa kiislamu milioni 1.5 wamekusanyika nchini Saudi Arabia chini ya ulinzi mkali, kabla ya kuanza rasmi ibada ya hija ya kila mwaka.
Magari yamepigwa marufuku ya kukaribia msikiti mkuu, Grand Mosque, ambao ni eneo takatifu zaidi kwa waislamu, huku mahujaji wakifanyiwa ukaguzi na polisi katika vituo kadhaa kwenye eneo hilo.







Hija hii ni moja ya mikutano mikubwa zaidi ya kidini duniani 
Hija hii ni moja ya mikutano mikubwa zaidi ya kidini duniani 

Zaidi ya mahujaji 2000 waliaga dunia mwaka jana wakati wa ibada ya hija, wengi wao wakiwa raia wa Iran.
Iran iliilaumu Saudi Arabia kwa kutosimamia ibada za Hija inavyofaa, na imekataa kuwaruhusu raia wake kuenda Saudi Arabia kuadhimisha ibada ya Hija

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni