Kurasa

Jumatatu, 19 Septemba 2016

Chid Benz Afanya Shoo Ya Kwanza Maisha Basement, Dar

 Staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, akikumbatiana na shabiki wake usiku wa kuamkia leo Maisha Basement jijini Dar.


  …Akiongea na shabiki wake.  
 …Akicheza na mashabiki zake.
 Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo hiyo.
 Chid Benz akiendelea kufanya yake.

Shabiki alimsalimia Chid Benz.

USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa Staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, alipojumuika na mashabiki zake kwa mara ya kwanza tangu atoke kutumia tiba ya kuondoa madawa ya kulevya mwilini, ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement ulioko Kijitonyama jijini Dar.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni