Kurasa

Jumamosi, 17 Septemba 2016

Simba yaipiga Azam fc 1 - 0

Mchezo umemalizika  kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Simba imepata ushindi wa bao 1-0. Mfungaji ni Shiza Kichuya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni