Kurasa

Jumanne, 20 Septemba 2016

Obama: Magari yanayojiendesha kuokoa maisha

 Marekani yatoa maelezo ya kusimamia magari yanayojiendesha
Marekani yatoa maelezo ya kusimamia magari yanayojiendesha

Serikali ya Marekani imechapisha maelezo ya kusimamia ongezeko la magari yanayojiendesha nchini humo.
Orodha hiyo ya maelezo 15 inazungumzia usalama wa magari hayo,mfumo wa magari , pamoja na kurekodi na kusambaza data.

Katika chapisho la gazeti moja ,rais Obama amesema kuwa magari yanayojiendesha yamepiga hatua ya kuwa hali halisi inayojitokeza baada ya kuonekana kuwa ndoto hapo awali.

Amesema kuwa magari hayo yanaweza kuokoa maisha ya wengi pamoja na wale wasioendesha magari kwa sasa.

Muungano wa watengenezaji magari umeunga mkono hatua hiyo ukisema kuwa magari hayo yanaweza ku

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni