Makabila tofauti na lugha tofauti
Rangi tofauti tamaduni tofauti
Lakini wamekusanyika katika mjii huu mtukufu wa Makkah kwa lengo moja wakiwa wana fanya ibada moja kuitikia wanaitikia kwa lugha muja (Arabic)
Nafsi zao zikiwa pamoja mpaka wanahisi wote ni baba na mama mmoja wanahisi wote wametokea sehemu mojja
Hii ndio Dini ya kweli isio na shaka ndaniyake (islam)
Rabbi Tukubalie dua zetu waislamu wote duniani

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni