HATIMAE KONGAMANO LA WANAZUONI WA KIISLAAM DUNIA LILILO FANYIKA CHECHNIA LATHIBITISH KWAMBA UWAHABI SIO KTK MADHEHEBU YA ALU SUNNA WAL JAMAA WALA HAUPO KTK KUUTETEA UISLAAM BALI UPO KTK KUUBOMOWA UISLAAM N KUUHARIBU UISLAM DUNIANI
Mamufti wa Kisaudi
wapatwa na kihoro kwa
kufutwa Uwahabi katika
madhehebu ya Ahlu-
Sunnah
Kushiriki kwa wingi maulamaa wakubwa wa
Kiislamu wa Misri katika kongamano la maulamaa
wakubwa wa Kisuni lililofanyika Grozny mji mkuu
wa Jamhuri ya Chechneya nchini Russia na hatua
ya washiriki kujibari na tapo bandia la Uwahabi na
Usalafi kumewatia kiwewe mno mamufti na
mashekhe wa Kiwahabi.
Kongamano hilo la siku tatu lililofanyika chini ya
anuani ya "Ahlu-Sunnah ni nani?" lilianza tarehe
25 na kumalizika tarehe 27 ya mwezi uliopita wa
Agosti.
Maulamaa na wanafikra wa Kisuni katika
Ulimwengu wa Kiislamu kutoka Misri, Syria,
Jordan, Sudan na baadhi ya nchi za Ulaya
walishiriki kwenye kongamano hilo.
Sheikh Mkuu wa al-Azhar Ahmad At-Tayyib,
Sheikh Shawqi Allam, Mufti wa Kisuni wa Misri,
Sheikh Usama Az-Zahri, mshauri wa Rais wa Misri
na Naibu Mkuu wa Kamisheni ya masuala ya
kidini katika bunge la nchi hiyo, Sheikh Ali Jumah,
Mufti wa zamani wa Misri na Sheikh Abdulfatah
al-Bazm, Mufti wa Damascus ni miongoni mwa
shakhsia waliohudhuria kongamano hilo.
Miongoni mwa nukta zilizotoa mguso kuhusiana
na kongamano hilo ni kutoalikwa mamufti wa
Kiwahabi na Kisalafi wa Saudia na Qatar.
Katika mkutano huo uliofunguliwa na
Rais Ramzan Akhmad Kadyrov wa Chechneya
washiriki walijaribu kutoa tafsiri kamili ya
madhehebu ya Ahlu-Sunnah ambayo
haikujumuisha ndani yake Uwahabi na Usalafi wa
ukufurishaji.
Katika taarifa iliyosomwa mwishoni mwa
kongamano hilo, washiriki walisisitiza kujibari na
kujiweka mbali na madhehebu ya kubuni ya
Uwahabi na Usalafi wa Utakfiri na kueleza
kwamba tapo hilo liko nje ya madhehebu ya Ahlu-
Sunnah na limesababisha kutiwa doa sura ya
Uislamu halisi duniani.
Katika jibu na radiamali zao kuhusiana na
maamuzi ya mkutano wa Grozny, Khalid al-
Kalbani, Khatibu wa zamani wa msikiti wa Mfalme
Khalid wa Riyadh amesema:"Mkutano wa
Chechneya unapasa kuwa indhari kwetu kwamba
ulimwengu umekusanya kuni ili kutaka
kutuchoma".
Muhammad Aal Sheikh anayetokana na kizazi cha
Sheikh Muhammad Abdulwahab, mwasisi wa tapo
bandia la Uwahabi amesema kutokana na
kushiriki Sheikh Mkuu wa al-Azhar katika
mkutano wa Grozny na kuchukuliwa uamuzi wa
kuutoa utawala wa Kifalme katika madhehebu ya
Ahlu-Sunnah kuna ulazima wa utawala wa Riyadh
kubadilisha msimamo katika uhusiano wake na
serikali ya Misri chini ya uongozi wa Abdul Fattah
el-Sisi.../
Rais Ramzan Kadyrov wa Chechney na
Sheikh Mkuu wa al-Azhar Ahmad At-Tayyib
Baadhi ya washiriki wa mkutano
Sep 06, 2016 04:00 UTC
ZINAZOFANANA
Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa
zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu
HABARI KUU
CHAGUO LA MHARIRI
ZILIZOTEMBELEWA ZAIDI
1 day ago
Ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba tukufu ya
Allah (1437 Hijria)
AU yataka kulindwa umoja wa kisiasa Gabon
WFP kuipa Kenya msaada wa makumi ya
mamilioni ya dola
Mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi huko
Walikale Kongo DR
Waziri wa Sheria wa Gabon ajiuzul

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni