Kurasa

Jumapili, 18 Septemba 2016

VideoMPYA: Diamond Platnumz na Rayvanny wanatualika kuitazama hii ‘Salome’


Ni single mpya ya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz iitwayo Salome ambapo time hii amemshirikisha msanii wake kutoka WCB aitwae Raymond aka Rayvanny.Wimbo umetayarishwa kutoka studio za
Wasafi Records chini ya producer Leizer Classic.

Unaweza ukabonyeza HAPA  Kuangalia video
https://youtu.be/_bPjsDcPHks

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni