Rehema Chalamila, Ray C ameanza kuwa na matumaini mapya kwenye maisha
yake baada ya kuonekana kuwa na afya njema tangu alipotoka rehab kwa
ajili ya kuachana na matumizi ya unga.
Muimbaji huyo alikuwa na wakati mgumu kwenye miezi mitatu iliyopita
baada ya kurudia tena kwenye matumizi ya madawa hayo ambapo alidaiwa
kuwa tayari ameshaacha tangu miaka mitatu iliyopita baada ya kupata
msaada kutoka kwa rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Kupitia mtandao wake wa Instagram, Ray C ameandika:
“I have found that FEAR is a lack of FAITH,and I have found a
loving,personal God to whom I can turn.I no longer need to be AFRAID..My
Universal Partner is here with me 24/7 ,every second,every minute of my
breath,he is my breath!I call him
Allah,Mola,Maulana,Mungu,Hope,Strenght,Upendo,Amani,Busara,Huruma.”
“My partner has got it all and am blessed to have a partner like
you in my soul,you really touch my soul Sir and thats why i call
you……..MY POWERFUL UNIVERSAL PARTNER. I LOVE YOU PARTNER.”
“Mungu ana miujiza,!!!!!!!!My Universal Partner you are one of a
kind!I LOVE YOU FOREVER AND EVER……….YOU ARE MY STRENGTH,YOU ARE
HOPE,THANK YOU FOR YOUR UNCONDITIONAL LOVE DAD,” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo.
Tumwombee aweze kushinda vita hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni