Waandaji wa Mombasa Rocks Music Festival walitikiswa na Vanessa
Mdee – wakatikisika. Muimbaji huyo amekubali kupanda jukwaani kutumbuiza
Jumamosi hii, shukrani kwa jitihada zilizofanywa na gavana wa Mombasa
Ali Hassan Joho.
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaji:
Vanessa Mdee Management announces that the Tanzanian songstress, Vanessa
Mdee (Vee Money), will be performing at the anticipated Mombasa Rocks
Music Festival (Saturday, 8th October), alongside Chris Brown and Wizkid
in Kenya, Mombasa.
Contrary to previous reports highlighting disagreement between her and
the festival’s management, Vanessa Mdee management would like to now
confirm that both parties have reached an understanding thanks to
Mombasa Governor Ali Hassan Joho’s involvement.
Ahead of her anticipated arrival and performance in Kenya, Vanessa Mdee
says, “Calling out all the Vee Money fans around East Africa, Kenya and
Mombasa to come dance to their favourite hits like “Niroge” and
“Hawajui”. I am very excited to be performing in Mombasa for the first
time! It will be special for my fans!”
Ijumaa hii Vanessa aliandika kwenye Instagram:
Kwenye show hiyo wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Wizkid, Alikiba, Navio na Nazizi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni