Kanye West amejiunga rasmi na Instagram.
Rapper huyo mwenye miaka 39, alijiunga na kutumia Instagram kwa
mara ya kwanza Jumapili (Sept 18). Hadi sasa ana followers zaidi ya
800k.
Hajaandika chochote kwenye picha hiyo.
Mnano March, West alizungumzia mpango wa kujiunga na mtandao huo kupitia
Twitter: On another note… I was thinking about getting an Instagram but
only on one condition……,” he wrote, later tweeting, “no one can ask me
or try to tell me what to Instagram… It’s my art.”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni