
Wanawake watano waliovalia mabuibui
na walioaminika kuvaa mikanda ya kujilipua walivamia kituo kimoja cha
polisi mjini Mombasa katika shambulio la kigaidi.
Maafisa wa
polisi nchini Mombasa wanasema kuwa walitibua jaribio hilo na kufanikiwa
kuwaua wanawake watatu huku wawili wakikamatwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni