Kina dada wa Tanzania na Kenya kukabiliana fainali Cecafa
Leo ndiyo siku ya fainali ya mataifa bingwa Afrika mashariki na
kati wanawake na tayari uongozi wa CECAFA umethibitisha kuwa
umekamilisha taratibu zote za mechi.
Mwandishi wetu Issaac Mumena ana maelezo zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni