Najua kuna
watu wangu wanaopenda kufuatilia updates za mastaa wakimataifa, na
nikazi yangu kuhakikisha unapata updates hizo mtu wangu, Leo nakusogezea
headlines zilizoshikiliwa na rappers Drake na Kanye West ambao ukizungumzia rappers bora duniani uwezi kuacha kuwataja na kila siku wanafanya vizuri kwenye game.
Goodnews! kwa mashabiki wa Rappers hawa wawili, Drake anaemiliki album ya ‘Views’ na Kanye west album ya ‘The life of Pablo’, hivi karibuni wameamua kutoa album ya pamoja, kaa tayari mtu wangu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni