Kiongozi wa waasi wa kundi la FARC,
Rodrigo Londono, anaejulikana zaidi kwa jina la Timochenko, amerejea
Colombia kutafuta idhini kwa kundi lake kwa ajili ya mkataba wa amani
aliosaini na serikali mwezi uliopita.
Akiambatana na waliokuwa wapiganaji wa kundi, wakiwa njiani kuelekea kambi iliyopo kusini mwa nchi hiyo,ambapo mamia ya waasi wa kundi la FARC hukutana mwishoni mwa wiki.
Aidha Timechenko ameweamuru kundi la FARC kufanya vitendo vya umwagaji damu na mauwaji, ikiwemo kuteka nyara na kuua ikiwa ni pamoja na kutoa mchango muhimu katika kupambana na ulanguzi wa dawa za kulevya
Chanzo: bbcswaahili.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni