Kurasa

Jumatano, 14 Septemba 2016

Tabia 10 zinazoharibu Figo

T
abia 10 zinazoharibu Figo

  • Kubana mkojo muda mrefu
  • Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
  • Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango
  • Kula nyama mara nyingi
  • Kutokula chakula cha kutosha
  • Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
  • Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu
  • Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
  • Kunywa pombe kupita kiasi
  • Kutopata muda wa kutosha kupumzika

Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni