
Balozi maalumu wa Marekani katika
Korea Kaskazini amesema kuwa Marekani inawaza kutumia uamuzi wa kipekee
katika kuadhibu Pyongyang kwa kufanya jaribio la Kinukilia.
Balozi Sung Kim, amesema hii itakuwa pamoja na hatua zinazopangwa kuchukuliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa.Bwana Kim, ambaye amekuwa akikutana na maafisa wa Serikali jijini Tokyo alisema kuwa Marekani pia inapanga mikakati mingine kwa ushirikiano na Japan na Korea Kusini.
Chanzo bbcswahili.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni