Angelique Kerber wa Ujerumani ameshinda tuzo la mchezo wa tenisi upande
wa wanawake katika mashindano ya US Open jijini New YorkAlimshinda Karolina Pliskova wa Czech Republic, aliyekuwa akicheza kwa mara ya kwanza katika shindano hilo la Grand Slam mwaka huu baada ya kushinda lile la Australia Open mnamo Januari.
Siku ya Jumapili bingwa wa mchezo huo upande wa wanaume, Novack Jokovich, atatetea taji lake dhidi ya Stan Wawrinka wa Switzerland.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni