Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo kufika katika Wizara hiyo siku ya Jumanne ya tarehe 27 Septemba, 2016 Saa 2:00 asubuhi kwa ajili ya kufanyiwa Usaili.
Vijana wenyewe ni hawa wafuatao:-
NO JINA KAMILI
1 ALI YUSSUF ALI
2 SULEIMAN ALI SULEIMAN
3 KHAMISI RAMADHAN HAMADI
4 HAJI MTUMWENI CHOUM
5 SALUM RASHID SALUM
6 SAID VUAI KHAMIS
7 SHARIF MAULID MUHIDIN
8 KHAMIS JUMA JUMA
9 ALI VUAI MJAKA
10 RAMADHAN JAFFAR ALMAS
11 SALUM KHAMIS MACHANO
12 HAJI MOHAMED NAIMU
13 MUHAMMAD SHAABAN MTWANA
14 DANIAL SULEIMAN HAJI
15 MAKAME OMAR MAKAME
16 YUSSUF SULEIMAN NYASA
17 ALI ABDALLA ABDALLA
18 ABDULHAKIM AMOUR KHAMIS
19 MZEE KHATIB SIMAI
20 MOHAMED KHAMIS RAJAB
21 SEIF KHAMIS AHMADA
22 MBARAKA TALIB MAALIM
23 ZUBEIR MARKUTA RAMADHAN
24 FOUM SAID ABDALLA
25 ALY SAID OMAR
Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa, Lesseni ya Udereva pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
Chanzo.www.lps.go.tz
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni