Kurasa

Jumamosi, 10 Septemba 2016

Oman scholarship hivi zimefutwa kwa sababu ya uchafuzi wa uchaguzi?


Written by  //  10/09/2016  //  Habari  //  Hakuna maoni Assalam Alaikum
Nataka kuuliza hivi ni kweli scholarship za oman zimefutwa ? Nina taarifa kwamba zimefutwa lakini sina uhakika wa taarifa hizi, na sababu ya kufutwa au kuondolewa ni kutokana na uchafuzi wa uchaguzi, hizi ndio taarifa nilizo nazo kutoka kwa mtuf, na ubalozi mdogo wa oman umesema wamesitisha mpaka pale mshindi wa uchaguzi wa October 25 atakapo tangazwa.
Kama taarifa hizi ni za ukweli, jee ni nani muathirika katika hili? Jee ni kuikomoa ccm na serikali yake au Wazanzibari wananchi wa kawaida vijana wetu !
Kufutwa kwa mitihani
Imekuwa ni kawaida mkoloni wetu kuwafutia matokeo vi jana wetu wa kizanzibari kwa kusingizia kuvuja mitihani, huu ni mpango mbadala wa kuwakandamiza waislamu, kielimu, kule tanganyika huwafutia wakiristo tena walofeli ili tuamini kuwa imevunja mitihani pande zote.
Rai yangu
Kwa wale walio futiwa mitihani na wale ambao bado wako kidato cha nne na sita kuelekea kwenye mitihani, wa naweza kufanya pia mitihani ya Cambridge, kwa kila somo ni laki mbili, Cambridge wanatoa certificate ya A level na O level (GCSE ) kila Mzanzibari mwenye uwezo nashauri wafanye mitihani ya Cambridge kwa kupitia British coucil dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni