Japo sipendezi, Kubembeleza siwezi
Kuna misemo ya khanga ambayo ‘husuta’ au kukanya dhidi ya tabia fulani, inayoelimisha na inayotia moyo.
Hii nni misemo niliyoichagua; Mengi ni ya kushangaza.
Hii nayo yataka majasiri
Kila kizuri kina mwenyewe. Ni Kweli?
Yataka moyo kuishi na jirani. Kweli hii itamfaa mama wa Uswazi
Utamu wa Mume, muwe wanne. Kwa nini?
Kipi cha kung’ang’ania, hakutaki timua.
Naogopa Simba na meno yake, siogopi mtu kwa maneno yake
Raha ya dunia ni watoto
Mwenye Kijicho hafanikiwi
Hii jisomee mwenyewe, kisha uisome pole pole
Hii pia isome pole pole
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni