Kurasa

Jumatatu, 12 Septemba 2016

Makala: Uchumi umedorora kwa kuwa watu hawafanyi kazi kwa bidii na akili

Wasalaa Wakuu,
Ningependa Kuitetea Kauli ya Mhe Rais ni Mbinu Za Kuinua Uchumi!
Uchumi Wetu Umedorora kwa Kuwa Kuna Watu Hawajibidishi Kufanya Kazi na Kujiongeza Kiakili ili Kujikimu Kimaisha!

Mathalani:Wakulima wa Nyanya wa Dumila,ilibidi Waende Mbele Zaidi!Baada ya Kuvuna Wangepanda Baiskeli Zao na Matenga na Kuzipeleka Dodoma au Hata Morogoro Mjini Kutafuta Soko!

Kukaa Chini na Kuilaumu Serikali ni Kujilisha Upepo!
Kuna Vijana Wanalalamikia Ajira Mpya,Cha Ajabu Hata Kazi za Ndani Zimewashinda Hawa Hata Kazi za Umma Wataziweza?Sasa Kama Hata Waliopo Serikalini ni Wavuvi Kutupa,Je Mkiajiriwa!
Kama Mnashindwa Hata Kuanzisha Miradi Mtaweza Kuendesha Miradi ya Serikali?

Na Ajira Mpya,Tutaajiri Wenye Biashara Zao:Iwe Vitalu vya Vitunguu,Nyanya,au Maduka! Naomba Niwaangazie Wale Wanaosema Kuwa Namanga Pamekauka Magari,Kwanza ni Afadhari!It is a Blessing in a Disguise!Mafuso ya Kenya Yalikuwa Yanaharibu Barabara Zetu!
Kule Bandarini Kuna Wafanyabiashara Rafiki Zake na Lowasa,Tuko Tayari Uchumi Uyumbe,ila Tuwanyime Riziki!
Chanzo Jamii forum.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni