Kiongozi wa upinzani, Jean Ping, ataka kura zihesabiwe tena nchini
Gabon. Umoja wa Mataifa wamlaumu Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, kwa
machafuko ya mwezi Julai. Na, tarehe 11 Septemba inatimia miaka 15 tokea
mashambulizi ya Marekani yaliyofanywa na kundi la kigaidi la al-Qaeda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni