Kurasa

Jumapili, 11 Septemba 2016

AJALI: Akimbia polisi alivaa asababisha ajali

Kihonda Morogoro: Kijana Mmoja ambaye hakufahamika jina lake na anapotokea amesababisha ajali baada ya kuwakimbia Polisi walipo msimamisha ili wamkague ndipo kijana huyo aliamua kuongeza mwendo wa Pikipiki na kuanza kupita mitaani kwa kasi huku polisi wakimfukuza ndipo alipo ingia kwenye kijiwe cha Bodaboda na kugonga Bodaboda 3  na kusababisha ajali moja ya Gari ndogo kuingia Nyuma ya Fuso.. Hatahivyo mtuhumiwa alifanikiwa kukimbia pasipo;  julikana.. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni