Naibu waziri anayehusika na mazingira amesema wananchi ambao hawatashiriki usafi kwenye siku iliyotengwa ya usafi basi mtu huyo apigwe faini kubwa au kuwekwa rumande
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Hashim Mgadilwa naye amewaweka ndani vijana wawili ambao walikuwa wanaendelea na shughuli nyingine wakati wa zoezi la kufanya usafi
Pia mkuu huyo wa wilaya ametangaza kutoa zawadi ya shilingi 50,000 kwa yeyote ambaye ataripoti mtu anayetupa taka hovyo.
Source ITV
Hapa Kazi Tu!
Hapa Kazi Tu!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni